Simu bora za kisasa kwa bei nafuu. Tunatoa huduma ya mkopo wa simu — nunua simu leo, lipa kidogo kidogo kwa siku/wiki/mwezi.Pia unaweza kununua simu na kuilipia ndani ya miezi miwili bila Riba.
SAMSUNGTECNOINFINIXITEL
Samsung Galaxy
Zinapatikana kwa mkopo
Tecno
Zinapatikana kwa mkopo
InfiniX
Zinapatikana kwa mkopo
itel
Zinapatikana kwa mkopo
500+
Wateja Wanaoridhika
13+
Mikoa Tanzania
4 hadi 12
Miezi ya Mkopo
24/7
Huduma ya Mteja
Orodha Ya Simu
Simu Zetu Maarufu
Tunauza simu mpya za kisasa. Simu zote zina dhamana ya mtengenezaji. Mkopo unapatikana kwa simu zote.
Samsung
Galaxy A07
4GB RAM · 64GB · 5000mAh
TSh 333,000Cash/Mkopo/Wekeza
Samsung
Galaxy A17
6GB RAM · 128GB · 5000mAh
TSh 480,000Cash/Mkopo/Wekeza
Tecno
Spark 40
8GB RAM · 256GB · 5000mAh
TSh 404,000Cash/Mkopo/Wekeza
Tecno
POP 10
4GB RAM · 64GB · 5000mAh
TSh 286,000Cash/Mkopo/Wekeza
Infinix
Hot 60i
8GB RAM · 128GB · 5000mAh
TSh 425,000Cash/Mkopo/Wekeza
Infinix
SMART 10HD
4GB RAM · 64GB · 5000mAh
TSh 279,000Cash/Mkopo/Wekeza
itel
A50C
3GB RAM · 64GB · 4000mAh
TSh 160,000Cash/Mkopo/Wekeza
itel
A50
3GB RAM · 64GB · 5000mAh
TSh 200,000Cash/Mkopo/Wekeza
Huduma Ya Mkopo
Simu Tunazokopesha
Unahitaji simu lakini pesa hauna? Hakuna shida! Wekeza kwa miezi miwili AU Kopa simu sasa , lipa kidogo kidogo kwa siku/wiki/miezi.
BrandMkopo (Miezi)Wekeza(Installment)
SamsungMiezi 6 – 12Mwezi 1 – 2
TecnoMiezi 4 – 9Mwezi 1 – 2
InfinixMiezi 4 – 9Mwezi 1 – 2
itelMiezi 4 – 9Mwezi 1 – 2
Mahitaji Ya Mkopo
Kianzio kidogo cha pesa (Down payment)
Kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA
Mpiga kura au Leseni ya udereva
Mdhamini (mtoa dhamana)
Maeneo Tunayohudumia
Tunafikia Tanzania Yote
Simu Jijii inahudumia mikoa mingi Tanzania Bara. Popote ulipo, tunaweza kukupelekea simu yako au unaweza kuwasiliana nasi kwa mkopo wa simu.
Mikoa 13 Tanzania
Tunaendelea kupanua huduma zetu kwa mikoa zaidi. Wasiliana nasi kujua kama eneo lako linahudumika.
Dar es Salaam
Mkoa Mkubwa
Mwanza
Ziwa Victoria
Mara
Kaskazini Mashariki
Mtwara
Kusini Mashariki
Njombe
Nyanda za Juu Kusini
Dodoma
Makao Makuu
Mbeya
Nyanda za Juu Kusini
Kigoma
Ziwa Tanganyika
Morogoro
Mashariki ya Kati
Tunduma
Mpaka wa Zambia
Geita
Ziwa Victoria
Shinyanga
Kanda ya Ziwa
Ruvuma
Kusini mwa Tanzania
Mkoa wako haupo kwenye orodha? Usiwe na wasiwasi! Wasiliana nasi moja kwa moja — tunajaribu kukufikia popote Tanzania. Piga simu au tuma ujumbe na tutakusaidia.
Tunafanya Kazi Na
Brands Zinazotambulika
Tunauza simu za genuine zenye dhamana ya mtengenezaji.
SAMSUNG
TECNO
INFINIX
ITEL
Wasiliana Nasi
Tuko Hapa Kusaidia
Je, una swali kuhusu simu au mkopo? Wasiliana nasi leo. Tuko hapa kukusaidia kupata simu unayotaka kwa bei nzuri katika mkoa wako.